LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

MAKALYAS VOICE LETTER TO THE WORLD

Filamu "Makalya’s Voice: A Letter to the World
Ni  msichana mdogo mwenye changamoto za ulemavu wa sauti na mawasiliano. Filamu hii ni barua ya kugusa moyo kwa ulimwengu, ikiangazia changamoto na matumaini ya familia yake wanapojitahidi kuhakikisha Makalya anapata nafasi ya kuishi maisha yenye maana.

Inachunguza masuala kama vile upendo wa familia, uvumilivu, na umuhimu wa sauti katika kueleza hisia na ndoto. Pia inaleta ujumbe wa kujenga jamii yenye usawa kwa watu wenye ulemavu. Ni hadithi ya uhamasishaji na msukumo kuhusu umuhimu wa kukubali utofauti na kuwapa nafasi watu wote kuishi kwa heshima.
             ingia hapa kuipata movie hii

Previous Post Next Post