LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

GEMINI

Walihofia akiacha kazi au kustaafu hawatopata mtu kama yeye, HENRY alikuwa anafanya kazi CIA kama HIT MAN alikuwa kajaaliwa uwezo na shabaha za ajabu
Hakuna mission aliyowai kupewa ikafeli
haikujalisha adui alikuwa umbali kiasi gani lakini akikusudia kukupeleka mbele za haki siku hiyo basi risasi yake Moja itatosha kumzuwia mlengwa kuiona kesho

Basi bwana.... wakuu wake wa kazi hawakutaka kipaji hicho Cha ajabu kipotee bure,walijua si rahisi kuja kupata mtu kama HENRY

Jambo waliloamua kulifanya kimya kimya bila hata  HENRY mwenyewe kujua waliamua kutengeneza watu wengine kupitia DNA za HENRY

HENRY umri umeenda hawamuhitaji yeye ila wanataka uwezo wake, tayali katimiza miaka 50 na kaamua kustaafu aende zake mbali akapumzike

Hivyo kupitia DNA zake wametengenezwa vijana wadogo hatari wenye nguvu na wepesi zaidi ya HENRY
.
Akiwa zake katulia mbali kabisa nchi za nje akijua kamalizana na kitengo chake Cha kazi ghafla akavamiwa na mtu ambae hakuwa na Nia njema

Alikuwa mmoja tu Lakini hakuwa mtu wa kawaida,alikuwa na uwezo kama HENRY Lakini alikuwa mwepesi zaidi,alikuwa kijana mdogo miaka ishirini

Lakini alifanana sana na HENRY kiasi kwamba HENRY akawa anazubaa kujibu mashambulizi sababu anajiona yeye mwenyewe

Lakini mtu huyo anachojua yeye ni kuuwa tu,sa itakuwaje...alijua anaenda kufurahia penshen kumbe baraa zito linamfuata

 HENRY kipindi anafanya kazi CIA hakujua kwamba wakuu wake walikuwa na agenda nyingine za sili

Mission nyingine alizokuwa akifanya zilikuwa za kigaidi bila yeye mwenyewe kujua,aliuwa hata watu wasio na hatia 

Mission mojawapo ilikuwa kwenda kumuuwa doctor akijua ni gaidi kumbe alikuwa mtu mwema,waliamua kumuuwa kwa sababu aligoma kuendelea na huu mradi wa kuzalisha watu

Sahivi anaandamwa auwawe yeye sababu wamepata mbadala wake Ili asirudi kuharibu mipango Yao

Ni sing movie ipate hapa Bonyeza link hii hapa
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Previous Post Next Post