LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

MAPENZI YA GIZA (Sehemu ya kwanza) Audio

 Simulizi : MAPENZI YA GIZA
Mtunzi wa simulizi : JUSTIN BARUTI
Sim: 0752474397
Aina : RIWAYA (Audio)
Msimuliaji : ZAINAB



UTANGULIZI

Mapenzi ni safari isiyotabirika, yenye mikondo ya furaha, huzuni na maamuzi mazito. Ni safari inayoweza kukuinua juu ya mawingu au kukusukuma chini kabisa. Lakini je, tunaelewa gharama ya mapenzi tunayoyachagua? Katika kila mahusiano kuna ishara nyekundu, njano au kijani. Swali ni: Je, tunazitambua ishara hizo kabla hatujaumia au tunasubiri mpaka tumekwama kabisa? "Mapenzi ya Giza" ni simulizi ya maisha, yanayokusihi utafakari kabla ya kujitosa zaidi



kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Previous Post Next Post