LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

MFAHAMU ONG - BACK (TONY JAA)

Jina Halisi: Ong-Bak (Tony Jaa)
Jina Maarufu: Tony Jaa
Tarehe ya Kuzaliwa: Februari 5, 1976
Umri: Miaka 49 (hadi 2025)
Mahali pa Kuzaliwa: Surin, Thailand
Mahusiano: Ameoa Piyarat Chotiwattananont tangu 2011
Watoto: Watoto wawili
Rangi ya Macho: Kahawia
Rangi ya Nywele: Nyeusi
---

FILAMU ZOTE ALIZOCHEZA TONY JAA

1. Ong-Bak: Muay Thai Warrior (2003)

2. Tom-Yum-Goong (2005)

3. Ong-Bak 2: The Beginning (2008)

4. Ong-Bak 3 (2010)

5. The Protector 2 (2013)

6. Skin Trade (2014)

7. Furious 7 (2015)

8. SPL II: A Time for Consequences (2015)

9. Never Back Down: No Surrender (2016)

10. Paradox (2017)

11. Triple Threat (2019)

12. Monster Hunter (2020)

---

LIFESTYLE YA TONY JAA

Tony Jaa, jina lake halisi ni Tatchakorn Yeerum, ni msanii wa sanaa za kijeshi, mwigizaji, na mkurugenzi wa filamu kutoka Thailand. Ana umaarufu mkubwa kwa kuleta sanaa ya Muay Thai kwenye kiwango cha kimataifa kupitia filamu za "Ong-Bak."
Tony ni mtu mwenye nidhamu kubwa, hufanya mazoezi magumu ya sanaa za kijeshi na huwa hafanyi matumizi ya viigizo vya kompyuta au madoubles kwenye filamu zake. Mbali na filamu, Tony pia ni kasisi wa Kibudha, akionyesha maisha yenye mizani kati ya ustadi wa sanaa za kijeshi na maadili ya kiroho.
Previous Post Next Post