LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

THE TOMORROW WAR

Kikosi Cha wanajeshi kutoka mwaka 2050 Walikuja wakati huu tuliopo kwa kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha wao kurudi wakati uliopita na wakati uliopo
Walileta habari mbaya kwamba huko walipotoka 2050 si salama Kuna viumbe wameivamia Dunia na kuangamiza binadamu na viumbe hai wengine

Hivyo wamekuja wakati huu uliopo kuomba msaada wa kijeshi, kuomba baadhi ya watu wakasaidiane nao katika kupambana na viumbe hao hatari

La sivyo miaka 30 ijayo wanadamu wa sasa watashindwa katika vita hiyo nzito ya Dunia baina yao na viumbe hao wa ajabu 

Kwahiyo njia pekee ya kuweza kuepukana na hilo janga  walichaguliwa kwa lazima watu kadhaa kwenda kupambana na viumbe hao,haijalishi una mafunzo ya kijeshi au laa

Mtapewa mafunzo kwa siku chache Kisha  mnapelekwa 5050 kupigana na hao viumbe

 shughuli inakuja hivyo viumbe vyenyewe ni hatari tupu kwanza vinatisha halafu jinsi unavyovipiga risasi vyenyewe vinakuja tu na solution namna ya kuwauwa Bado haijapatikana

Ni single movie Full HD
Ingia live chat kuipata movie hii 
Previous Post Next Post