LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

WRATH OF MAN

Nyingine Kali ya mtaalam Jason Statham 
Humu ndani Alikuwa miongoni mwa security waliopata kazi katika Kampuni ya FORTICO SECURITY baada ya kuonekana kafuzu katika matumizi ya silaha na uendeshaji wa magari

Kazi yao ilikuwa ni kusafirisha pesa za makampuni mbalimbali kupelekea sehemu husika, lakini mala kwa mala pesa hizo hazikufika sehemu husika sababu ya uvamizi wa mala kwa mala unaofanywa na wahuni

Siku ya kwanza kwa Patrick akiwa na police security kadhaa wakisafirisha mamilion ya pesa..kama kawaida msafara ukavamiwa na watu wabaya wakiwataka watii amri na kuwakabidhi pesa zote 

Hali ilikuwa tofauti na walivyozowea,safari hii msafara umeambatana na mtu mwenye ghadhabu na katili zaidi yao,anachojua ni kuuwa na si kujeruhi..peke yake alitosha kudhibiti kundi hilo la waporaji hakuruhusu hata mmoja wao akimbie 

Kitu kilichowaacha midomo wazi security partners wenzake ambao wao walikuwa wametii amri ya kusurrender ...maana haijawai tokea mtu mmoja kuweza kukabiliana na kundi kubwa la magaidi wenye siraha Kali za moto

Akailetea heshima kubwa Kampuni yao ya FORTICO SECURITY 

***
Kuomba kazi FORTICO SECURITY sio kwamba alikuwa na shida na uhitaji wa kazi hiyo, hapana...miezi kadhaa iliyopita mwanae aliuwawa baada ya kushuhudia tukio la uporaji pesa na mauwaji ya security officers 

Hivyo kupoteza ushahidi nae wakamuuwa kupoteza ushahidi baada ya dogo kushuhudia tukio hilo,Jason nae hakuwa mbali alipojaribu kwenda kutoa  msaada nae akapigwa risasi kadhaa

Wakaamini Jason nae amekufa,kumbe sivyo and good news alifanikiwa Kuona sula ya moja ya mualifu...baada ya kupona kazi ikawa ni moja tu kutafuta wabaya wake

Kwahiyo namna pekee ya kuwanasa watu hao baada ya kusambaratisha magenge yote aliyokuwa na wasiwasi nayo ndani ya mji mzima na kuwakosa walengwa ikamlazimu aombe kazi ya security kwenye Kampuni hiyo ya usafirishaji iliyokuwa inavamiwa mala kwa mala na wahuni akiamini siku moja wataingia kwenye 18 zake 
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Previous Post Next Post