LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

INDECENT PROPOSAL

 Licha ya hali yao mbaya ya kiuchumi lakini Wapendanao DAVID na DIANA  wanaishi kwa furaha na upendo...siku moja walichukua mkopo wa dola elfu 50 na kushindwa kulipa kwa wakati deni hilo

Hivyo mali zao,ardhi na jengo walilokuwa wakijenga wakaambiwa vitauzwa wasipolipa deni lao ndani ya muda waliopewa...maisha yakawa ya shida zaidi couple hiyo

Kunusuru mali zao,na kurejesha amani na tabasamu katika ndoa yao ni baada ya kulipa hiyo dola elf 50..solution aliyoipata David ni kwenda kucheza Kamali kupitià kiakiba kidogo alichokuwa nacho

Wakiwa casino kwenye meza ya Kamali nako pia mambo hayakwenda vizuri wakakutana na wakamalia walio kubuhu wakapoteza hata akiba yao ndogo waliyokuwa nayo 🤔

Wakiwa eneo hilo hawaelewi wakakutana na John cage..tajiri ambae pesa si tatizo kwake yeye akipoteza dola elf 50 mpaka dola milioni moja kwenye Kamali hajali wala account yake haiteteleki

John cage alijikuta ghafla kavutiwa  na Binti mdogo Diana baada ya kupiga story mbili tatu...,akawaita wote wawili baada ya kushindwa kukaa na jambo moyoni...wao si wanashida na dola elf 50 ??

Akamwambia David anamuomba mkewe Diana alale nae kwa usiku mmoja tu Kisha awapatie dola milioni moja😱ni  zaidi ya kijipesa kidogo wanachodaiwa na wameshindwa kukilipa🤔

Hakuwa na haraka na hakutaka apewe jibu muda huo aliwaacha waende nyumbani wakatafakari..wakiridhia warudi na waitwe wanasheria waandikiane kwaajili ya tukio linaloenda kutokea kwa usiku mmoja tu Kisha awapatie hiyo pesa 🤩

Mtihani mgumu lakini rahisi kapewa Diana na David,chaguo la kuwa matajiri au kuendelea kuwa maskini lipo mikononi mwao,swala hili liliwapa wakati mgumu mpaka kuoamba ushauri

Wapo waliopingana na ombi la tajiri,wengine wakataka akubali na kufumba macho kama hakijatokea kitu🤔

HATARI kakini SALAMA
Wapenzi wa love story na usaliti hii si ya kukosa

Kuipata Movie Hii

Pia kaa karibu nasi hapa WhatsApp kwa kujiunga na Group letu kwa kupata update za movies na series HD kila siku 
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Previous Post Next Post