LATEST MOVIES

1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
1000 Tsh
Msimu wa Sikukuu 2025

Furahia Burudani ya Sikukuu na JoeBoy Studio

Pata movies na series za kuvutia, ofa maalum za msimu, mabango za tukio, na huduma za utengenezaji wa maudhui — yote hapa Tabora. Tunakuletea burudani kwa njia mpya.

Piga Sasa — +255 613 442 214 Tuma Barua
WhatsApp: +255 613 442 214

MY NAME IS KHAN

Baada ya mama yake RIZVAN KHAN kufariki Dunia RIZVAN aliamua kusafiri kutoka nchini kwao India kwenda kuishi kwa kaka yake nchini Marekani 

RIZVAN hakuwa vizuri sana kiakili alikuwa kama chizi flani Lakini anajielewa kama MEMO wa kwenye miracle in cell sio kama ROHIT MEHRA🤣
 
Baada ya kufika nchini Marekani alikuwa akimsaidia biashara kaka yake ya uuzaji wa vipodozi  maeneo mbalimbali nchini Marekani

Siku Moja katika mishe zake hizo alikutana na na bibie MANDRA/KAJOL katika saloon anayofanyia kazi, taratibu wakajenga mazowea final wakafall in love na kufunga ndoa licha ya tofauti zao za kidini

RIZVAN alikuwa muislamu na MANDRA alikuwa muhindu,pia ana mtoto kwajina la SAMEER aliyempata katika mahusiano yake ya awali,licha haya yote na uzezeta wa RIZVAN waliishi kwa furaha

Penzi lao liliingia dosari siku ambayo OSAMA BIN LADEN alipolipua majengo mawili marefu nchini humo na kusababaisha mauwaji ya watu wengi

Hali hii ilipelekea waislamu wote kuonekana ni magaidi,hivyo waislamu wakaanza kukutana na vikwazo vingi kama kukosa ajira,kuishi kwa woga,kutengwa na biashara zao kuyumba

Ugomvi huo ulipelekea SAMEER mtoto wa MANDRA kufariki baada ya kushambuliwa na vijana watukutu wa kizungu

Hali hii ilimuuma na kumkasirisha sana MANDRA huku akilaumu ndoa yake na huyo muislam RIZVAN KHAN ndio imechochea kifo Cha mwanae

Kuanzia muda huo mapenzi yakapungua hakutaka kumuona tena RIZVAN na kumtaka aondoke nyumbani kwake na kumwambia ili urudi hapa iambie Dunia kwamba wewe sio gaidi

Akampa wakati mgumu RIZVAN kwa kumwambia afike mpaka kwa Rais wa Marekani kumwambia kwamba MY NAME IS KHAN I'M NOT A TERRORIST Kisha urudi

Utamu wa movie ni namna RIZVAN anavyokutana na vikwazo mbali mbali akiwa njiani kuelekea kwa Mr president 

Ni single movie, tunayo Whatsapp na telegram   sh 1000

link ya kutupata  hii hapa Download Movie hii hapa
Previous Post Next Post